SlipTok offers todayβs tips, premium slips, rollover plans, and a secure marketplace for buying or selling predictions.
Business
Full Description
Version 9.1 β’ Updated on Dec 19, 2025
SlipTok ni app ya kisasa iliyoundwa kwa ajili ya wapenzi wa betting wanaotaka tips sahihi, slip za kuaminika, rollover plans, na mfumo wa kununua/kutengeneza mikeka kwa urahisi.
Hapa utapata today tips bila kujisajili, na huduma za premium kwa watumiaji wanaotaka ubora zaidi.
---
π₯ Features Kuu
β Today Free Tips (Bila Account)
Fungua app na uone mikeka ya leo moja kwa moja bila kusajili account.
β Search Slip / User / Bet Code
Tumia sehemu ya Bet Code Search kutafuta:
Mikeka ya watumiaji
Premium slips
Rollover picks
User profiles
β Slip Shop β Buy Premium Slips
Nunua mikeka ya uhakika kupitia ZenoPay.
Baada ya malipo kukamilika, utaona View Match & Prediction papo hapo.
β Premium Slip Posting
Users wenye:
Followers 200+
Post 10+
Payment ya Level Up (15,000 TSH)
Wanaweza kuuza slips zao premium.
β Rollover Section (2 Odds, 3 Odds, 5 Odds)
Watu wa Level 3 wanaweza kuendesha rollover:
Weka bei ya wiki au mwezi
Post rollover slips hadi 5 odds
Wanunuzi hupata tips daily bila kulipia tena kwa muda waliolipa
β VIP Access
Watu wanaolipia VIP wanapata:
Tips za rollover bure kwa muda wao (wiki/siku/mwezi)